Tuzo za elimu zaja....




Si muda mrefu, tulijadili umuhimu wa kuwa na tuzo kwa maeneo mengine ambayo hayaonekani kupewa kipaumbele. Bofya hapa kujikumbusha.

Binafsi simfahamu huyu bwana na wala sikumbuki jina lake japo alitambulishwa kwenye kipindi. Shirika nalo sikufanikiwa kulikumbuka. Kilichonishawishi kumbandika humu, ni mazungumzo yake niliyoyasikia leo asubuhi. Kwamba kuna mpango wa kuwa na tuzo za elimu kwa wanafunzi na walimu bora kwa kila mtihani wa taifa. Nadhani huu utakuwa mwanzo mzuri.

Alikuwa akihojiwa asubuhi ya leo na mtangazaji Godwin Gondwe wa Kumekucha ITV.

Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Haiba ni nini?

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3

Uislamu ulianza lini?