Iko siku yote yatawezekana...
Ule mjadala wa kuifufua Jumuiya yetu ulisishia hewani. Bonyeza hapa kuusoma. Na si kwamba nimekata tamaa. Hata kidogo. Ila naamini kuna siku inakuja tutaweza. Kabisa.
Kwa sasa itoshe nikidhani kuwa kipo kisichokuwepo.
Kwa sasa itoshe nikidhani kuwa kipo kisichokuwepo.
Bwaya habari,sijakuelewa hapa kabisa,naomba ufafanuwe tafadhali mkuu.
JibuFutaRasta hapa.
Sijambo Rasta.
JibuFutaSina hakika hujaelewa wapi. Ungekuwa wazi zaidi ungenisaidia kukujibu vizuri zaidi.
Ila, kijumla jumla ninachokiona mimi kuhusu ufufuaji wa Jumuiya yetu ni kwamba kipo ambacho pengine hatukijui lakini ndicho hasa kinachokosekana.
NItakujibu vizuri ukifafanua swali lako Rasta.
Kaka Bwana nakusifu kwa kuwa na moyo ya kutaka kuwa Jumuiya ifufuke
JibuFutanitaanzisha jumuiya nyingine nakuwalazimisha kuwa wanachama tu
JibuFutaRasta why dont you get things more open?
JibuFutaKwa sasa itoshe nikidhani kuwa kipo kisichokuwepo.
JibuFutarasta hapa
Big kaka Bwaya. Tuifanye ifufuke.
JibuFutaHujambo Bwaya?
JibuFutaKuna kazi inakusubiri. Pitia kwangu kwa maelezo.
Serina.
Mlaumiwa naikia na unaweza usiamini lakini nafanyia kazi hii kitu! Na ingekuwa ni swala binafsi ningeshalimaliza miaka kadhaa iliyopita.
JibuFutaLakini unafikiri kama wanajumuiya wapo kwa nini unawasiwasi na jumuiya kujengeka?
mkuu huwa na pita na speed kali..usifikiri upo peke yako tupo pamoja kaka..siku njema
JibuFutatutafika tu