Global Voices Citizen Media Summit in Cebu, The Philippines in 2015. Photo Courtesy of Global Voices I started my blog in 2005. I was among very few Tanzanians who were inspired by Ndesanjo Macha to start blogging. For those of you who do not know, the history of Tanzanian blogosphere recognizes the contribution of this great man. His influential weekly column in a local newspaper invited many of us to his blog. In fact he was the first Tanzanian to blog in Kiswahili . That was in 2004. I had the privilege of meeting him in Nairobi, Kenya in 2012 and in Cebu, The Philippines in 2015. We were both attending Global Voices Citizen Media Summits. For me, blogging was fun. I never thought that blogs could actually threaten politicians. That was until 2010 when I had an opportunity to attend the Global Voices Citizen Media Summit in Santiago de Chile. I was shocked to hear friends talking about restriction of fr...
naona umedhamiria kuwa BIG. sie wengine tutapenda kutafsiriwa kwa vitendo. kila la heri katika kuchota maarifa.
JibuFutaHongerak sana!!
JibuFutaHiki ni kitabu maarufu kimojawapo ambacho nilikumbanaa nacho huku ughaibuni miaka michache iliyopita. Ni kati ya vitabu vinavyohamasisha mtazamo wa maisha ambao ungepaswa uwemo katika vichwa vya watoto wetu, vijana wetu, na wengine kwa ujumla.
JibuFutaKitu kimoja kinachosikitisha katika jamii ya waTanzania ni hii dhana ya kukata tamaa. Utasikia, kwa mfano, eti vijana wetu, wanakaa vijiweni, wanavuta bangi, na kadhalika eti kwa sababu wamekata tamaa.
Wangesoma vitabu kama hivi, wangekuwa na mtazamo tofauti. Tatizo jingine ni uongozi. Angalia huku Marekani, kwa mfano. Hata kama nchi inakabiliwa na matatizo makubwa kiasi gani, utamsikia Rais Obama akitoa hotuba ya kuwatia watu moyo sana.
Kusoma kuzuri jamani...nini kama elimu katika `mtizamo, malengo na mafanikio?' sijui. Elimu haiji kwa kuongea tu, ...`kusoma'
JibuFutaSoma, kila kitu , soma mpaka macho yapofuke kwa maandishi, kwani mwisho wa siku utajua jinsi gani ya kuyatibu hayo machoo yasipofuke!
@Mwaipopo, napenda kujifunza zaidi maarifa ya nafsi (kujielewa, kujisaili upya, kujenga upya mitazamo, kuona nisichokiona na kadhalika). Nayapenda sana maandiko yenye mtazamo huo wa mabadiliko binafsi kwa kuamini kuwa hatuwezi kuibadili jamii bila kwanza kubadilika sisi wenyewe.
JibuFuta@Yasinta, karibu sana!
JibuFuta@Profesa asante kwa mchango wa uzoefu wako. Kuna umuhimu wa kubadili mitazamo hasa katika umri wa mtu kama mimi.
@M3, mafanikio ni nini? maana vyovyote iwavyo sote twapenda kufanikiwa. Mafanikio huanzia kwenye mtazamo. Namna tunavyoyatazama mambo. Kusoma ni hatua ya kwanza. Ya pili, hufuata baada yake.
Wataalamu wa elimu hudai, elimu huja vyema sana kwa kuongea. Unapoongea kile ukijuacho, unajifunza zaidi. Kisha utekelezaji unafuatia. Tusiache kujifunza.
Namuunga mkono Prof Mbele kwa asilimia mia moja
JibuFutahongera sana kaka, kwani umeendelea...maendeleo yanaanza kwenye mtazamo, mtu anaelewa nini? uelewa wa mtu ndio silaha pekee ya kumtoa kwenye magumu yake...lakini uelewa unakuja kwa kusoma vitabu na hali nzima ya mtazamo wa upokeaji(human acceptance.nawasihi watanzania wenzangu tubadilike kwenye mtazamo mzima kuhusu maisha ndio mwanzo wa maendeleo...tujielewe(tuko wapi)tujitambue (sisi ni kina nani)tujifahamu(tunatakiwa kufanya nini kwa wakati gani)....hapo ndio tutaendelea...asanteni
JibuFuta