Mkutano wa wanablogu Santiago

Nimepata fursa ya kukuhudhuria mkutano wa wanablogu wa jumuiya ya Global Voices unaofanyika kwenye Ukumbi wa Maktaba ya Taifa, Santiago Chile.
Moja ya vivutio vya mkutano huo ni kukutana na mwanablogu wa kitanzania aishiye Australia Bw. Joe Nambiza Tungaraza na Njeri Wangari mwanablogu wa mashairi wa Kenya.
Hongera sana, usisahau tu kutujuza yanayojiri huko. Msalimie sana kaka Mwandani na wanablogu wengine.
JibuFutaDuh!!
JibuFutaHaya twasubiri kujuzwa yaliyojiri na hii itatusaidia tuJIELEWE zaidi
Blessings Kaka
Ahsante kwa taarifa na kama Da Mija na Mzee wa CChangamoto nami nasema usikose kutujuza kinachoendelea. Upendo Daima.
JibuFuta