"True confension', mhalifu anapokiri kosa



Jana nilipita hapa nikakumbuka enzi hizo. Sikumbuki ni idadi gani ya vitabu "nilivichomoa" humu. Enzi hizo nilikuwa mteja wa kudumu humu. Nilikesha ndani ya jengo hili wakati huo wenzangu wakifanya mambo mengine mitaani.

Maoni

  1. inakuwaje mkuu.

    Hilo jumba la hekima nakumbuka pia nilikuwa nalitembelea nilipokuwa Naura primary school.

    Vipi we ulikuwa ukilitembelea mwaka gani?

    JibuFuta
  2. Hapo ilikuwa miaka ya 2003 mpaka 2005 hivi.


    Asante kwa kunitembelea kaka.

    Karibu tena na tena lakini hujaniambia wewe ulikwapua vingapi?

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Pay $900? I quit blogging

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Heri ya mwezi mpya!

Uislam: Ndoa na mali havihusiani?

Strictly gospel na mijadala ya kiimani

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3