Kurudi Bloguni
Habari za miaka wapenzi wana-blogu. Tafadhali karibuni sana kwenye blogu yetu iliyokuwa mapumzikoni kwa takribani miaka miwili. Sababu za kupotea zilikuwa za kijamii na nje kabisa ya udhibiti wa kawaida.
Sasa tunaweza kuahidi kuwa blogu yetu imerejea rasmi kwa nguvu mpya na mtazamo mpya tangu dakika hii. Na masuala ya kijamii yanayohusiana na mahusiano yetu na nafsi zatu pamoja na mahusiano yetu na wanaotuzunguka, tabia zetu, mitazamo yetu, na kadhalika, yataendelea kupewa kipaumbele kwa sura mpya zaidi.
Karibuni sana.

Hii ni habari njema kabisa. Karibu tena ulingoni.
JibuFutaAsante sana Prof. Mbele kwa ukaribisho. Nafurahi umekuwa mwanablogu aliyedumu kwa muda mrefu pasipo kupotea potea kama sisi. Hongera sana. Tuko pamoja!
JibuFutakaribu sana katika michakato ya kuhabarisha jamii juu ya masuala mbalimbali yanayojira kila kukicha .hongera sana kwa kuendelea kuwa nasi.
JibuFutaAsante sana Najitambua. Karibu katika safari ya kujitambua!
JibuFutaKaka Bwaya hii ni habari njema sana nami nasema KARIBU SANA MWANA MPOTEVU maana nimepeleka habari polisi ila sikupata jibu:-)
JibuFutaAsante sana Yasinta kwa mapokezi. Nimetoka Polisi kuwaambia nimejisalimisha mwenyewe.
JibuFutaGreat site you have here.. It's hard to find excellent writing like yours these days. I honestly appreciate individuals like you! Take care!!
JibuFutaSee my blog Android Free Download
thankyou