Tunawezaje kujinasua na matatizo ya msongo wa mawazo?
Hivi sasa imekuwa ni kawaida kukutana na mtu anayezungumza mwenyewe. Na si tu kuzungumza mwenyewe, bali hata kurusha rusha mikono huku na kule. Waweza kukutana na mtu anayetazama lakini haoni, anayesiki lakini hasikilizi, na anayesema asichojua anachokisema.
Si hivyo tu. Imeanza kuzoeleka kukutana na mtu ofisini mwenye hasira za mafungu dhidi ya kila anayehitaji huduma yake. Hasira zinazoambatana na kufoka, kusema pasi mpangilio, na hata kutukana watu wasio na makosa ya moja kwa moja hovyo hovyo.
Vile vile, ni kawaida kukutana na watu wenye ghadhabu katika sehemu za umma, kama kwenye usafiri wa wote, foleni za benki na kadhalika. Watu wanaonekana kuwa na hasira ambazo kimsingi chanzo chake si hapo alipo.
Hizi ni dalili za msongo wa mawazo. Na zipo nyingi.
Kuyasema haya hatujaribu kuonyesha kuwa msongo wa mawazo/stress ni kitu kibaya moja kwa moja. Hapana. Kwa hakika kiasi fulani cha stress kinahitajika ili kutufanya tuhimizike kupiga hatua fulani.
Hata hivyo, msongo huu wa mawazo unapoambana na uendelevu, hali ya kutokufika mwisho, huzaa matatizo. Wengine mpaka wanaathirika afya zao. Wapo ambao shauri ya msongo wa mawazo, hujikuta wakishindwa kumudu mahusiano na watu wengine.
Je, hali hii inatokana na nini? Kwa nini tumeanza kukumbwa na msongo wa mawazo katika siku za leo? Kuna visababishi vipi vinavyosababisha tuwe na msongo wa mawazo? Na kwa nini katika mazingira haya haya wapo watu wasiopatwa na matatizo haya? Kwa nini hakika hali hizi hizi, watu hawa hawa, na maisha haya haya yanayosababisha msongo kwa wengi wetu, yasisababishe msongo kwa watu wengine?
Je, kuna mbinu zozote za kuweza kudhibiti msongo wa mawazo? Je, tunaweza kujilinda na kupatwa na maradhi haya ya kusongwa songwa na mawazo?

Hello Bwaya !!!
JibuFutaYour blog is awesome
thank's for sharing
JibuFutaCamera.co.id Toko Kamera Murah di Indonesia
Info Makkah
Hotel Makkah
Ummulquro Makkah
Albaik Makkah
Gambar Makkah
Foto Makkah
Umroh di Mekkah
Free Seo Tools
JibuFutaFree Seo Tools
Free Seo Tools
Free Seo Tools
Free Seo Tools
thank you, for sharing, success always for this website, good luck
JibuFutapour la création de votre site internet visitez notre page web et demandez nous un devis gratuit
JibuFutaI Like this
JibuFutahttp://bloggergilabola.blogspot.com/ - Berbagi Informasi Dan Prediksi Sepakbola Terkini
I Like this
JibuFutahttp://bloggergilabola.blogspot.com/ - Berbagi Informasi Dan Prediksi Sepakbola Terkini
nice articel..
JibuFutagood looking blog..
JibuFutaterimaksih mudah mudahan bermanfaat
JibuFutahttp://pembesaralatvitalalami.blogspot.com/
Thank you for the nice information for me :)
JibuFuta