Wasemavyo wanablogu kuhusu Uchaguzi Mkuu

Ifikapo tarehe 31 Oktoba 2010, Watanzania zaidi ya milioni 19.6 watafanya uamuzi muhimu kuhusu hatma ya nchi yao. Watafanya hivyo kupitia uchaguzi mkuu wa nne chini ya mfumo wa vyama vingi. Wakati zimebaki siku chache kabla ya uchaguzi huo, ulimwengu wa blogu wa Tanzania nao unafuatilia kwa karibu yale yanayotokea katika kampeni za vyama mbalimbali. Hapa Deogratias Simba wa Global Voices on line anatukusanyia habari kutoka kwa wanablogu. Bonyeza hapa kusoma makala nzima. Ukitaka kwa kiingereza bonyeza hapa.

Unaweza pia kusoma makala nyingine kupitia ukurasa huu wa kiswahili wa Global Voices.

Maoni

  1. Kumbe safari hii wanblogu hawakulala kabisa, wametoa uchambuzi wa kina na wa manufaa kwa wapiga kura. Blogu zidumu

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Uislamu ulianza lini?

Zijue Tabia Nne za Kiongozi Bora Kazini

Tabia za Mtoto wa Miaka 0 – 3 Kimahusiano na Kihisia