Unaionaje Dublin kupitia jicho langu?


Leo nimepata bahati ya kutembea kidogo katika jiji la Dublin.


Gari linalotumika kumwezesha mgeni kusafisha macho. Picha: @bwaya    


Majengo ya zamani yanayovutia. Picha: @bwaya


Mitaa yenye majengo yanayoitwa ya 'King George' wa Uingereza. Ireland ilikuwa koloni kwa miaka mingi. Picha: @bwaya


Mto katikati ya Dublin. Picha: @bwaya
Mavazi ya wa-Irish Picha: @bwaya
Magogoni ya Ireland. Picha: @bwaya

Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

[VIDEO]: Mazungumzo na Liberatus Mwang'ombe na Solomon Chris baada ya Uchaguzi DMV

Pay $900? I quit blogging

Uislamu ulianza lini?

Haiba ni nini?