Take the Risk cha Ben Carson
Ndio kwanza nimeanza kukisoma. Take the Risk: learning to identify, Choose and Live with accepatable Risk. Kimeandikwa na Mganga Ben Carson kwa msaada wa Gregg Lewis na kuchapishwa na Zondervan Publishing House mwaka 2008.
Kitabu kinaanza na masimulizi ya upasuaji mgumu uliofanyika Julai 2003 kuwatenganisha Ladan na Laleh, mapacha waliozaliwa wakiwa wameungana sehemu ya vichwa vyao. Mapacha hao hata hivyo walifariki dunia wakiwa na umri wa miaka 29 wakati upasuaji huo ukiendelea huko Singapore. Katika kitabu hiki, mwandishi anajaribu kutupatia somo lilitokana na Upasuaji huo.
Ladan na Laleh raia wa Iran muda mfupi kabla ya upasuaji huo uliofanyika Julai 2003.
ahsante sana kaka Bwaya kwa kunifanya nifahamu kuwa Ben keshatoa kitabu kingine. nitakisaka wikend hii
JibuFutaSafi wakuu, soma ujue na uelimike, hivi , nani rafiki asiyemchoyo kama kitabu?
JibuFutaFathy, kitafute ukisome. Kinasisimua.
JibuFutaEmu Three umesema kweli. Vitabu havina uchoyo!
Natamani ningekuwa na muda wa kusoma vitabu vingi, lakini mgawanyo wa kazi huu duh!
JibuFutaDk. Chib, Ben Carson ndio saizi yako haswa!
JibuFutahicho kitabu kinapatikana wapi?
JibuFutakaka habari za siku asante nimefanikiwa bwana
JibuFutaHongera sana kijana. Kaza mwendo!
JibuFutagood sharing information. thanks
JibuFutathanks for sharing good information
JibuFutai like it this blog and article
JibuFutaThanks you for sharing
JibuFutaNice blog and article
JibuFuta