Elimu pasipo maandishi inawezekana?







Pamoja na ukweli kuwa wengi wetu tunayakwepa maandishi, lakini hiyo haimaanishi kuwa hatuna kiu ya kujifunza. Pichani, wananchi wa mjini Moshi wakionekana kuvutiwa na matumizi ya video katika kuelimika. Picha: Sayuni Philip

Maoni

  1. asante sana, Mkuu, kwa elimu hiyo!

    JibuFuta
  2. Ni kweli twaweza kuelemika kwa njia hii, lakini najiuliza vipi `hesabu'...najiuliza tu akilini!

    JibuFuta
  3. Nikweli kaka wengi kwakusoma ipo shida!

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

UmahiriHisia (Emotional Intelligence) ni Nini?

Kutumia UmahiriHisia (Emotional Intelligence) Kuelewa Unavyojisikia

Kutumia UmahiriHisia (Emotional Intelligence) Kuimarisha Mahusiano

Uislamu ulianza lini?

UmahiriHisia (Emotional Intelligence) Unavyosaidia Kurekebu na Kumudu Hisia

UmahiriHisia (Emotional Intelligence) Unavyochochea Motisha na Kujituma