Familia ya Lowassa yachunguzwa Ughaibuni


MTOTO wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa anayeitwa Frederick Lowassa anachunguzwa na Kitengo Maalumu cha Polisi wa Kimataifa wa Uingereza wanaofuatilia utata wa uhamishaji fedha kutoka Tanzania, Raia Mwema limedokezwa. Kwa habari zaidi bonyeza hapa.

Maoni

  1. Nadhani hakuna mtu anayeandamwa kama huyu baba. Hata huo utajiri wake anaufaidi saa ngapi jamani?

    Je, mambo yote anayozushiwa ni ya kweli? Kama ni ya kweli na yanajulikana basi si apelekwe mahakamani ijulikane. Mpaka namhurumia!

    Cha wanyonge hakiliki ama?

    JibuFuta
  2. Kama anazushiwa si aende mahakani kuwashitakin hao wanaomzushia, mbona sheria ziko wazi tu?

    Kuna haja ya kuliangalia hili kwa jicho la tatu

    JibuFuta
  3. kwa nini aandamwe yeye tu? kuna tatizo hapa!

    JibuFuta
  4. Ukizungumzia mafisadi Bongo, moja kwa moja akili inamkumbuka Edward Ngoyay Lowassa na Rotsam Aziz. Na labda Chenge. Inasikitisha sana kuwa tupo tunaodhani anaandamwa pamoja na utumbo wote alioufanya na anaoendelea kuufanya. Sasa hivi tunaambiwa Dowans watalipwa mabilioni ya pesa. Mnajua ni akina nani watanufaika nayo? Tuache ushabiki

    JibuFuta
  5. Ich habe gerade Ihren Feed zu meinen Favoriten. Ich wirklich viel Spaß beim Lesen Ihrer Beiträge.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?