Posti bora ya mwaka 2009

Kabla sijapotea kwenye blogu (kwa siku mbili tatu nne)nitakushirikisha posti bora kabisa nilizozisoma kwa mwaka mzima 2009 ambazo kwa hakika zilinipa mtazamo mpya wa mambo. Nitarudi kama Shaka Ssali anavyosema-ga "Don't go away!", naja.

Maoni

  1. @BWAYA: Mkuu salama lakini?

    JibuFuta
  2. Du, Baba mtakatifu Mkodo salama! Ndo kwanza nimerejea. Mambo vipi?

    Da'Mija asante kwa kupiga hodi. Nilifunga nyumba kwa muda, nimerudi. Karibu tupo!

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?