Unaujua uongo wa Charles Darwin?


Charles Darwin ni yule jamaa aliyepata kuandika ile nadharia maarufu ya "Natural Selection" . Nadharia hii kwa muda mrefu imekuwa ikiaminika kutoa maelezo ya kweli kuhusu namna viumbe vilivyoweza kuwa hivi vilivyo leo hii (organic evolution).
Kwamba viumbe havikuumbwa bali vilibadilika kwa kile kinachoitwa kwa kadiri ya Darwin "struggle for existance" na " survival for the fittest".
Katika kuipitia pitia, hatimaye nimebaini uongo uliojikita katika nadharia hiyo inayoonekana kulazimisha kuukana uwepo wa Mungu pasipo hoja inayojitosheleza.

Lengo la kuyaandika haya, ni kusema wazi kwamba pamoja na akili alizokuwa nazo huyu jamaa, kwangu mimi (Darwin) ni mwanasayansi mwongo (na wa kuandikiwa kitabu kabisa kabisa).
Kwa sababu hiyo, nitaandika baadae uongo huo ulivyo wa wazi.

Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?