Ijumaa, Oktoba 06, 2006

Duniani hakuna mwadilifu, wote tunahangaika

Maadili, mfumo wa kubaini jema na baya, hatuzaliwi nayo. Tunazaliwa tunayakuta yapo, yameanzishwa na wengine kwa makusudi yao ili kukidhi haja ya wakati husika. Hata waanzilishi wenyewe wa hayo yanayoitwa maadili yetu, tunakuwa hatuwajui ni akina nani na walitumia vigezo gani kutoka wapi ili kutuundia hayo yanayoitwa maadili. Hapa ninajaribu kuonyesha kuwa kila mmoja anaweza kuwa na mfumo wake binafsi wa maadili. Endelea hapa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni