Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2005

Bongo flava imevamiwa na wababaishaji

Siku hizi raia wanapambana na ufukara wao kwa mbinu nyingi.Zipo zilizo halali na hali kadhalika zipo zilizo haramu. Ndio maana utaona kuwa tatizo la ujambazi limekuwa likinona na kunenepa kila uchao. Watu wanatumia nguvu kunyanganya mali za wengine, mchana kweupe. Watu wanavunja nyumba za watu, wanachukua (iba) kila kilichomo mumo. Usije ukadhani kuwa wanapenda, ni mfumo unawalazimisha kutenda matendo hayo bila hiari. Ashakumu si matusi, afadhani ujambazi huu kuliko "ule mwingine" unaofanywa na wachache wanaodhani wana meno kuliko sisi kwa kutumia ile iitwayo demokrasia. Katika kukabiliana na ukata wa maisha, siku hizi kumeibuka kundi la vijana wengi wakilazimika kujiunga na miradi ya shughuli za usanii wa aina kadha wa kadha. Muziki mpya, maarufu kama Bongo flava, ukiwa ni moja wapo. Ni mradi usiodai gharama kubwa kama vile elimu ambayo siku hizi haipatikani kiurahisi. Kimsingi, hii ni njia halali ambayo faida zake si haba. Kwanza, ingawa haijawa ajira iliyorasmishwa, imekuw

Sauti ya Umma inapomtaka Baraba...

Najua wengi hawasadiki mafundisho ya kitabu kiitwacho biblia. Mniwie radhi, nikirejee kidogo. Katika kitabu cha Mathayo 27:15-26 kuna tukio ambalo linasadifu suala la demokrasia ya enzi hizi. Hapa kuna fundisho la jinsi ambavyo demokrasia ya watu inaweza kuchezewa kama wapendavyo waungwana wachache wenye nafasi ya kufanya hivyo. Katika Uyahudi hiyo, wakati wa Pasaka, Pontio Pilato, Mkuu wa Dola ya Rumi katika Uyahudi , alikuwa na utaratibu wa kumfungua mfungwa mmoja wakati wa Pasaka (Mat. 27:15). Lakini Pilato ili kufanya hivyo inasemekana ilimpasa kupata ridha ya wananchi wa Uyahudi ile, ili amweke huru mmoja wa wafungwa kwa mujibu wa katiba yao. Basi, ilitokea katika Pasaka mmoja Yesu Mnazareti akawa amekamatwa kwa kosa la kuwakosoa watawala kwa kutangaza mambo ambayo hayakupendeza machoni pao. Nafikiri Yesu alikuwa tishio kwa watawala hao. Kukamatwa kwa Yesu kulikuja baada ya Yuda Iskariote kugawiwa takrima ya nguvu (Ni kama fulana siku za leo) iliyomshawishi kusahau mafundisho yote

Ni kweli, tusiwategemee wanasiasa!

Jamani ninasikitika siwezi kublog mara kwa mara maana kidogo shule inanibana. Hata hivyo, huwa najitahidi kujua kuna nini kinaendela katika mtandao. Kwa kifupi, ninafuatilia sana soga za wanablogu (saaaanaa!)hata kama sitoi mawazo moja kwa moja kulingana na muda na masuala fulani ya shilingi. Namshukuru Mungu, ninakaribia kuwa huru, nitaonekana kila inapobidi. Mimi ni mpenzi wa safu ya Gumzo la wiki katika Mwananchi Jumapili. Pamoja na ukata mkali unaotukabili sisi tulio "wa kusoma", sikumbuki ni Juma lipi lilipita bila kulipitia kujua lina gumzo gani. Ni gazeti la kusoma ingawa ndio hivyo vijana wengi hatuonekani kupendelea magazeti siriaz, kama alivyobaini Padri Karugendo katika Rai toleo fulani. Juma lililopita kulikuwa na hoja nzito kwamba tusilogwe kuwategemea wanasiasa kutuletea maendeleo binafsi. Mwandishi alifanikiwa kunishawishi kwa hoja kwamba kuendelea kunahitaji mikakati na juhudi binafsi zaidi, kuliko kulia lia tukiwategemea wanasiasa wasiotabirika! Somo h

Vijana wengi hawana elimu ya uraia?

Ninablog nikiwa Singida. Nimekuta harakati nyingi zinazohusiana na uchaguzi mkuu, utakaofanyika Desemba 14. Yupo Mhindi mmoja hapa anasumbua akili za watu kwa wingi wa hela alizonazo. Ukweli ni kwamba wananchi wa Singida wamekubali awe Mbunge wao si kwa sababu ya sera zake. Ni kwa sababu ya pesa! Hii ni ajbau maana ukimsiliza Mgombea huyu utashangaa kapita pitaje hadi kuteuliwa kuwa mpeperushaji wa bendera ya chama Kikongwe kama CCM? hajui kujieleza na akisimama anachokijua ni kutaja ahadi za miradi ya mamilioni atayoifanya akiwa Mbunge. Ni wazi, nimegundua, Vijana wengi wa MJi huu na mkoa kwa ujumla hawana elimu ya Uraia. Wengi wanafuata mkumbo na hawajuai umuhimu wao kushirikji katiuika masuala ya siasa. Utakuta wamejaa kijiweni wakilaumu kwa nini huyu bwana (Mhindi) kapitishwa na chama chake awe mgombea...wanalalamika sana. Ajabu ni kwamba ukiwauliza kama wamejiandikisha kupiga kura, watakwambia "hilo halihusiani na wala si muhimu...kura moja itaathiri nini?" Naam.Hiy

Is there more than one God?

Jesus Christ revealed to mankind the nature of the Godhead who rules over this earth. As contrasted with the Old Testament, which repeatedly spoke of many Gods , as is illustrated above, the New Testament, as a result of Jesus's teachings, focuses on the three divine beings who govern this earth: God the Father, his Son Jesus Christ, and the Holy Ghost. The Book of John, especially, contains dozens of passages where the Christ explained his relationship to his Father and to the Spirit.

It's easy to be critic!

Any effort to respond to criticism, slander or misrepresentation is weighted in favor of the critic. With a single "authoritive" quote a critic can raise doubts or give an impression which might take pages to correctly understand or correct. As an example, Joseph Smith can be quoted in The Young Women's Journal (1892, vol 3, p. 263-4) that the moon is inhabited. Oliver B. Huntington is quoted as saying, "Nearly all the great discoveries of men in the last half century have, in one way or another, either directly or indirectly, contributed to prove Joseph Smith to be a prophet. As far back as 1837, I know that he said that the moon was inhabited by men and women the same as this earth, and that they lived to a greater age than we do, that they live generally to near the age of 1000 years." Since man has landed on the moon and most people today don't believe in "moon' people, we must evaluate Joseph Smith's statement. A study of the statement leav

How do you see this/

"The Lord looketh from heaven; He beholdeth all the sons of men."--Psalm 33:13 Perhaps no figure of speech represents God in a more gracious light than when He is spoken of as stooping from His throne, and coming down from heaven to attend to the wants and to behold the woes of mankind. We love Him, who, when Sodom and Gomorrah were full of iniquity, would not destroy those cities until He had made a personal visitation of them. We cannot help pouring out our heart in affection for our Lord who inclines His ear from the highest glory, and puts it to the lip of the dying sinner, whose failing heart longs after reconciliation. How can we but love Him when we know that He numbers the very hairs of our heads, marks our path, and orders our ways? Specially is this great truth brought near to our heart, when we recollect how attentive He is, not merely to the temporal interests of His creatures, but to their spiritual concerns. Though leagues of distance lie between the finite crea

how to get confident. Look here

'Get Confident' - Emotion Introduction Some of the most difficult situations we have to deal with are emotionally demanding - take conflict, negotiation and forming and sustaining relationships, for example. To deal with these situations you don't need to be constantly upbeat or ready to take on the world's problems, you just need to: Be aware of your own emotions and those of others. Use this awareness to express how you are feeling appropriately and anticipate the needs of others. This section of 'Get Confident' aims to help you develop these strengths. In this section you'll learn: Emotional confidence Information and an exercise to help you clarify your own emotions. Emotional coaching A questionnaire to help you think about how you respond to the emotions of others. Confrontation Tools and an exercise to help you think about how you handle conflict and negotiation in work and romance, and with the family. Consolidation exercise An exercise in negotiatio

How to avoid arguments

How to avoid arguments Many arguments occur for the wrong reasons and get out of hand easily. This checklist by relationship psychotherapist Paula Hall can help you to avoid rows - when you next feel a conflict brewing, just ask yourself these questions. Your feelings 1. Are you overreacting because you're tired and stressed? 2. Could the anger you feel be at someone or something else? 3. Are you hormonal at the moment and feeling unusually irritable or sensitive? 4. Is your mood being affected by illness? Your partner's feelings 1. Could your partner be overreacting because they're tired or stressed? 2. Do you know that they're currently feeling angry about something else? 3. Is your partner either struggling with health issues or being affected by hormonal changes? Your conscience 1. Are you feeling defensive about what your partner has said or done because you feel guilty? 2. Could you be feeling defensive because you want to avoid having to say you're sorry? 3.

Naanza kublogu dini, imani, sayansi na kadhalika

Katika blogu hii natarajia kuwa naendesha mijadala kadha wa kadha. Moja, dini na imani kwa lengo la kuangalia undani wa imani zetu. Je, inawezekana kuishi bila dini? Je, kuna dini ya kweli? Je, Yesu ni Mungu? Mtume Muhammad aliuanzisha Uislam? Na maswali mengine mengi. Pili, nitapitia mara kwa mara masuala ya saikolojia na falsafa nikiamini kwamba ili tuishi vizuri na nafsi zetu lazima tujitambue. Tuzifahamu nafsi zetu na kisha tuwatambue wengine. Tatu, nitarajibu kujipenyeza kwenye mijadala ya sayansi. Ningependa kuona namna sayansi inavyohusiana au kugombana na imani.. Yapo maswali lukuki. Je, sayansi inaweza kufanya kazi bila kuwepo imani? Na je imani bila sayansi, inafaa kwa lolote? Vipi sayansi na dini vinavyoweza kufanya kazi pamoja na kadhalika na kadhalika. Changamoto kubwa, sina kompyuta wala mtandao. Tutafika tu