Unaionaje Dublin kupitia jicho langu?

Leo nimepata bahati ya kutembea kidogo katika jiji la Dublin. Gari linalotumika kumwezesha mgeni kusafisha macho. Picha: @bwaya Majengo ya zamani yanayovutia. Picha: @bwaya Mitaa yenye majengo yanayoitwa ya 'King George' wa Uingereza. Ireland ilikuwa koloni kwa miaka mingi. Picha: @bwaya Mto katikati ya Dublin. Picha: @bwaya Mavazi ya wa-Irish Picha: @bwaya Magogoni ya Ireland. Picha: @bwaya