Jumatano, Julai 18, 2012

Mitaa ya Nairobi, 'Usomini UoN'


Chuo Kikuu cha Nairobi, kinachosemekana kuwa moja wapo ya vyuo bora Afrika
Mitaa ya Chuo Kikuu cha Nairobi
Ndani ya Chuo, karibu na duka la vitabu
Bustani za wazi katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Nairobu
Kama ni kweli, sehemu hii haihusiki basi sawa sawa

Sijui nielekee wapi, huku au kule?


Alama ya utambulisho wa Chuo Kikuu cha Nairobi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni