Shinto: Dini iliyoanzia Japani na kuishia Japani.

Nchi zilipokea dini zilizokuwa zimeanzishwa katika nchi nyingine. Inaaminika kuwa dini hizi zilipokelewa bila tafakuri ama kwa sababu ya kupumbazwa na ubunifu ulikuwa ukitumiwa na waenezaji wa dini hizo.

Katika Japani, hali ni tofauti kidogo. Wajapani walianzisha na kuamua kuienzi dini yao maarufu ya Shinto ambayo yaweza kuchukuliwa - hasa na watu waliathirika na umagharibi- kuwa ni kishenzi. Maana kwa watu hawa dini ya kweli ni ile yenyeuhusiano wa jinsi yoyote na wale jamaa wanaopambana na ugaidi.

Shinto ni dini iliyoanzishwa Japani na inaonekana kushindwa kuvuka mipaka ya Japani. Lakini inayo umaarufu wake nchini humo. Bonyeza hapa kusoma zaidi kuhusu dini hii yenye waumini wasiozidi milioni 4 duniani.

Nitapandisha maelezo mafupi kuhusu Urastafariani hivi karibuni.

Maoni

  1. Asante kwa hili somo. Nilikuwa siijui dini Hii. Bwaya unajua nimezinguka kidogo leo. Kwa maana nime pei atensheni kwenye jina lako la kwanza

    JibuFuta
  2. Makala hizi za dini ni kati ya makala za nguvu sana kwenye blogu zetu hivi sasa. Uamuzi huu wa kuingilia kwa kina masuala haya nauunga mkono. Mimi nimekosa muda wa kuyaandikia. Shukrani kwa kutuelimisha kuhusu dini ambazo wengine wala hatujui kama ziko au kama tunazijua basi tunazijua kijuujuu. Si unajua wengi wetu hudhani dini ni uislamu na ukristo tu?

    JibuFuta
  3. Duh! Bwaya ehh?Sisemi sana, nangojea urudi na mambo

    JibuFuta
  4. Bwaya, vipi?

    JibuFuta
  5. Ndesanjo,

    Kuna sababu iliniweka kando kwa muda fulani nikashindwa kublogu ipasavyo. Sasa mambo ni shwari kiasi, nimerejea kwa kasi mpya.

    JibuFuta
  6. Bwaya!
    Kwanza karibu tena ktk uwanja huu wa ku-blog.

    Kuhusu dini mm naona hao wa-japan wako sahihi kujikita kwenye dini yao tena ya asili. Kimsingi dini ni imani sasa iweje sisi tuliburuzwa kuhusu imani zetu? Anyway, tutaendelea kjiita waislamu au wakristo

    JibuFuta
  7. Adsanteni sana kwa mawazo, falsafa na kadhalika, nawapenda woote lakini zaidi napenda mikundu (of course ya wanawake), msinielewe vibaya. Nitembeleeni kwenye blogu yangu mpya, hakuna zaidi ya picha za mikundu, natafuta sana za wabongo mkipata msiache kunitumia nipambe blogu

    http://mikundu.blogspot.com/

    JibuFuta
  8. In American terms what does the word "kuishia" means...

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?