tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post9213753693860357647..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Uislamu ulianza lini?Christian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger34125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-37159621164318906242023-04-25T01:02:40.447+03:002023-04-25T01:02:40.447+03:00Jmn kunamambo yanaitaji imani san yesu nina muhama...Jmn kunamambo yanaitaji imani san yesu nina muhamadi ni nani tunapaswa kujiuliza wote kwa pamoja ni manabii sindio sasa basi usilamu ulikiwepo toka mwanzo ukisoma tibabu cha NEHEMIA 12.40 masheeh walikuwepo na wakristo natulikuwa tukiabudu na kusujudu pamoja sisi ni wamoja tangu mwanzo tatizo letu zote ni ubinadamu tunahitaji ama moja anahitaji kujiona yuko juu ya mwenzake wajamani si ni wanadamu tuliubwa kwa udungo na kwenye umbaji hakuna mkristo wala muslimu wajameniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-63935434857327045072023-01-27T15:31:01.801+03:002023-01-27T15:31:01.801+03:00Kwa Mimi nashangaa mashehe wanaieleza historia ya ...Kwa Mimi nashangaa mashehe wanaieleza historia ya yesu vizuri tu kwamba alizaliwa pasipo mbegu ya mwanaume na wanajua alifanya mambo makubwa magumu ambayo hakuna mtume yoyote Wala nabii aliefanya wanajua kwa Yesu alimfufua Lazaro aliyezikwa kwa muda wa siku nne wanajua na wanajua kwamba hao wayaudi walimuua lakini hawataki kabisa kusema mbele ya imma kwaaamba Yesu kristo alifufuka siku ya tatu Tena alivyozikwa usiku ule wakawatuma walinzi wakawaaambia kaeni hapa kaburini muone ujanja wake kama atafufuka usiku wa j mosi saa sita ukashuka mwanga mkaliiii wenye mithili ya jua ambao katikati yake alikua malaika mkuuu wa mbingini Gabriel wale walinzi wakazimia kwa woga malaika akaviringisha jiwe kwa kidolee yessuuu akatoka kaburini akiwa mzimaaaaaaaaaaa hili hawasemi hawasemi ktk wafilipi neno linaema Mungu akamkirimia jina lipitalo majina yote ili kila ulimi umkiri na kila goti lipigwe kwa masihi Yesu kristoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-7362545768300470912022-08-25T17:44:35.891+03:002022-08-25T17:44:35.891+03:00Wewe ndiyo hujielewi kabisa.Wewe ndiyo hujielewi kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-86731683311985230072021-03-05T22:41:37.767+03:002021-03-05T22:41:37.767+03:00Ktk kitabu chake maisha yako nabii mohamad, kinase...Ktk kitabu chake maisha yako nabii mohamad, kinasema, yeye 'na mkewe ndio wa kaanza kuwa waislam, 'na ktk kitabu cha asili yake majini, kinasema, mwislam wa 3 aliyesimamishwa 'na mohamedi ni SHETANI, ambapo adamu 'na hawa, wa kushindwa kumsilimu

Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17659395321776969136noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-56258408925834630762020-05-29T11:24:59.753+03:002020-05-29T11:24:59.753+03:00Hamisi OmariHamisi OmariAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/13058516280438720162noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-51842773349640634252019-03-29T15:19:12.439+03:002019-03-29T15:19:12.439+03:00Kwanza Quran yenyew inasema muhamadi kajakukamilis...Kwanza Quran yenyew inasema muhamadi kajakukamilisha uislamu wew inasema kaanzisha muhamadi haya waweza nilitea sehemu katika Quran inayosema uislamu umeanzishwa na muhamadAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/08352689869450183128noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-6838910786991279212019-03-29T15:16:00.877+03:002019-03-29T15:16:00.877+03:00We ndio umechemka kweli We ndio umechemka kweli Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08352689869450183128noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-59891880535169068152019-03-27T17:31:08.217+03:002019-03-27T17:31:08.217+03:00Kabby.
Ukitaka kuyajua haya mambo vizuri lazima u...Kabby.
Ukitaka kuyajua haya mambo vizuri lazima uanze kusoma Biblia kwa kuwa ndicho kitabu cha kwanza kuandikwa. Hiyo Quran imeandikwa karne tano baadaye ambayo hiyo ni miaka 500. Sasa kama mnasema uislam ulikuwepo tangu mwanzo je ulikuwa ukitumia kitabu gani? Na kama mnasema kuna maandiko yamechezewa, je kitabu cha maandiko ambayo hayakuchezewa kiko wapi? Maana mnasema Quran imeletwa kwa sababu kitabu chenu cha mwanzo kilichezewa je mwanzo mlikuwa mnatumia kitabu ga ni na kiko wapi ili tupate kukisoma wote tuone yaliyomo?Norberthttps://www.blogger.com/profile/13158038050790294823noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-87320543862513411032018-10-22T08:48:57.225+03:002018-10-22T08:48:57.225+03:00Walter
Kwanza kabisa nikupongeze kwa uelewa wako a...Walter
Kwanza kabisa nikupongeze kwa uelewa wako ambao nafikiri sio mmbaya uko sahihi japo hapa naomba kidogo tuwekane sawa ; kwanza swala la kutawadha au kusujudu au kuvaa mavazi fulanifulani haya yasikufanye ujenge hoja kuwa Yesu alikuwa mwislamu au kusema mkristo.Ieleweke wazi kuwa Yesu kipindi hicho alikuwa kwenye jamii ya watu ambao alizaliwa na kukuta tamaduni zao za kuvaa, kusali n.k ni sawa na Yesu angezaliwa katika kabila la kimasai bila shaka angevaa lubega .kwa hiyo aliwatawadha wanafunzi wake kwakuwa ilikuwa ni desturi ya watu wa jamii hiyo walikuwa wanajua maana yake ni nini lakini ndani yake kulikuwa na jambo la kiroho alilifanya Bwana Yesu na ndio maana ukisoma vizuri hapo utakuta anawaambia kuwa hamuelewi ninachokifanya maana yake hakuwatawadha kama wanavyojua wao. Kwa hyo ndugu tupende kusoma maandiko na hakuna din inayoruhusiwa kumsema mwenzie bali inapaswa tuheshimu tu imani za watu woteKilimo na Mkulima Tanzaniahttps://www.blogger.com/profile/02632749953567332518noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-8668952476375876392018-10-06T13:22:30.305+03:002018-10-06T13:22:30.305+03:00Ahsante elibariki, nimekupata vilivyo naomba ndugu...Ahsante elibariki, nimekupata vilivyo naomba ndugu waislamu mtudhihilishie kuwa Musa, yesu na wengineo wa kwenye Qur'an kuwa ndio wa kwenye bible na kwa kuongeza tudhibitishieni pia kuwa Allah ni YehovaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/00989799055283680292noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-49181701888648105562018-09-24T10:21:04.321+03:002018-09-24T10:21:04.321+03:00Mkorogo wa quran. Unamsilimisha adam akiwa kaburin...Mkorogo wa quran. Unamsilimisha adam akiwa kaburini, ibrahim akiwa kaburini. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/13256125652294857842noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-42657564514093466312018-04-07T22:33:15.112+03:002018-04-07T22:33:15.112+03:00nafikiri lengo la bwana bwaya ni kuchokoza ili aib...nafikiri lengo la bwana bwaya ni kuchokoza ili aibue hisia za watu katika mazungumzo ili watu wengi waweze kuchangia mada hii. Kama lengo lake ni hilo nikweli wengi wamechangia na tumepata faida kubwa kwa mjadala huu. Kikubwa tu ambacho bwana bwaya naweza kukushauri wakati mwengine ukihitaji kuandika kuhusiana na masuala ya dini ama imani zenye wafuasi ni vyema ukaandika katika mfumo wa swali zaidi ili kutoa nafasi kwa wanaojua waweze kuelimisha watu kwa ulichokiuliza na si kuandika kana kwamba unauhakika na unachokiongea. Hii itapelekea wachangiaji wanaoamini katika hiyo imani kuchangia "with negative emotion" na kusababisha elimu uliyopanga watu waipate ishindwe kupatikana
Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/15319904691807545367noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-421562116828356242017-10-10T14:22:16.436+03:002017-10-10T14:22:16.436+03:00Makundi:
Lazima kuna dini ambayo imezitangulia ny...Makundi:
Lazima kuna dini ambayo imezitangulia nyingine; si kweli kwamba zote zilianza kwa pamoja, mimi ni Mkristu hivyo nafahamu kidogo kuhusu dini hii kwamba imeanzishwa lini, na nani, mazingira yapi, na ilikuwaje, kwa upande mwingine, je Uislam ulianzishwa lini, nani wahusika wa kwanza, ilikuwaje, maandiko ya kabla ya mohamad ni yapi? yako wapi? yalitumiwa na nani, kwanini ihuishwe mara kadhaa (Na Musa na Mtume Muhamad), lini ilipotea, kwanini?, na maswali mengineyo ambayo yatotoa uhalisia wa dini hii kuanzishwa kable ya Ukristu

swali la pili:
Ni kweli kwamba Musa wa kwenye biblia ndiye huyohuyo wa kwenye Masaafu? Kwanini?
Ni kweli kwamba Yesu wa kweye biblia ndiya Issa Bin Mariam,? Kwanini?
Je ni nini kinachodhihirisha kuwa watu hawa ni walewale kwa pande zote?
Je misikiti ndio masinagogi? na wale waliosali na Yesu walikua ni waislam?
Pia kuna sehemu katika biblia ambapo Yesu alihubiri: Je aliwahubiria Waislam au Wayahudi?. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/10860025139424142900noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-68775883125228716832016-07-10T09:37:22.889+03:002016-07-10T09:37:22.889+03:00QUR'AN 6:162-164
(162) - قُلْ إِنَّ صَلَاتِي ...QUR'AN 6:162-164

(162) - قُلْ إِنَّ صَلَاتِي وَنُسُكِي وَمَحْيَايَ وَمَمَاتِي لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.

(163) - لَا شَرِيكَ لَهُ ۖ وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُسْلِمِينَ
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.

(164) - قُلْ أَغَيْرَ اللَّهِ أَبْغِي رَبًّا وَهُوَ رَبُّ كُلِّ شَيْءٍ ۚ وَلَا تَكْسِبُ كُلُّ نَفْسٍ إِلَّا عَلَيْهَا ۚ وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَىٰ ۚ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّكُمْ مَرْجِعُكُمْ فَيُنَبِّئُكُمْ بِمَا كُنْتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ
Sema: Je nitafute Mola Mlezi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, na hali Yeye ndiye Mola Mlezi wa kila kitu? Na kila nafsi haichumii ila nafsi yake. Na habebi mwenye kubeba mzigo wa mwenziwe. Kisha marejeo yenu ni kwa Mola wenu Mlezi, naye atakuambieni mliyo kuwa mkikhitalifiana.Milanzi Milanzi Milanzihttps://www.blogger.com/profile/08132130840474597470noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-52674691893842840112016-07-10T09:31:42.582+03:002016-07-10T09:31:42.582+03:00QUR'AN 7:143-144
(143) - وَلَمَّا جَاءَ مُوسَ...QUR'AN 7:143-144

(143) - وَلَمَّا جَاءَ مُوسَىٰ لِمِيقَاتِنَا وَكَلَّمَهُ رَبُّهُ قَالَ رَبِّ أَرِنِي أَنْظُرْ إِلَيْكَ ۚ قَالَ لَنْ تَرَانِي وَلَٰكِنِ انْظُرْ إِلَى الْجَبَلِ فَإِنِ اسْتَقَرَّ مَكَانَهُ فَسَوْفَ تَرَانِي ۚ فَلَمَّا تَجَلَّىٰ رَبُّهُ لِلْجَبَلِ جَعَلَهُ دَكًّا وَخَرَّ مُوسَىٰ صَعِقًا ۚ فَلَمَّا أَفَاقَ قَالَ سُبْحَانَكَ تُبْتُ إِلَيْكَ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُؤْمِنِينَ

Na alipo kuja Musa kwenye miadi yetu, na Mola wake Mlezi akamsemeza, alisema: Mola wangu Mlezi! Nionyeshe nikutazame. Mwenyezi Mungu akasema: Hutoniona. Lakini utazame huo mlima. Ukibaki pahala pake basi utaniona. Basi alipo jionyesha Mola Mlezi wake kwa mlima, aliufanya uvurugike, na Musa akaanguka chini amezimia. Alipo zindukana alisema: Subhanaka, Umetakasika! Natubu kwako, na mimi ni wa kwanza wa Waumini.

(144) - قَالَ يَا مُوسَىٰ إِنِّي اصْطَفَيْتُكَ عَلَى النَّاسِ بِرِسَالَاتِي وَبِكَلَامِي فَخُذْ مَا آتَيْتُكَ وَكُنْ مِنَ الشَّاكِرِينَ
(Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Musa! Mimi nimekuteuwa wende kwa watu na Ujumbe wangu na maneno yangu. Basi chukua niliyo kupa na uwe katika wanao shukuru.Milanzi Milanzi Milanzihttps://www.blogger.com/profile/08132130840474597470noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-82416297829674193052016-02-08T20:26:45.661+03:002016-02-08T20:26:45.661+03:00kwanza kabla ya yote unafaa ujuwe nini maana y ane...kwanza kabla ya yote unafaa ujuwe nini maana y aneno islam home for you Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/15825557554985949173noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-65555287505144946642015-03-13T16:56:06.796+03:002015-03-13T16:56:06.796+03:00cha msingi nikufata sheria za mungu kumi...basi up...cha msingi nikufata sheria za mungu kumi...basi upumzike hyo siku yake ya sabato..napia ujue chanzo cja dini zote za leo..ivi unajua freemason iliaza edeni...baada kaini kuumua abeli..yule ndie mwazilishi wa freemasoni..so dini hizi za kikristo na za kiislam zilitokea kwa ajili ya kupinga uonfizi wa shetani yani lucifer ambae ndie mkuu wa freemasoni..lakini dini ya kwanza ni ya wayahdi ..fatilia vzuri maandiko au soma kitabu kilichoandikwa na john robbinson..kina itwa proofs of a conspiracy against all the religions and govement of europe..acha ubishi jifunze maandiko upate maarifagodhelpanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-26755513376791886382014-10-19T05:36:03.017+03:002014-10-19T05:36:03.017+03:00Ndugu Abdi Salumu Fadhili ninakuunga mkono maneno ...Ndugu Abdi Salumu Fadhili ninakuunga mkono maneno yako kuhusu kumjibu huyu ndugu Christian Bwaya Maelezo yake inaonyesha ameyakopi kwenye wikipedia. inaonyesha hajuwi kuwa Dini ya Kiislam hakiuanzishwa na Mtume Muhammad S.A.W. Bali yeye huyo Mtume Muhammad S.A.W. alikuja kuiendeleza hiyo Dini huko Uarabuni. Ndugu Christian Bwaya kama huelewi Dini ya kiislam Muanzilishi wake ni nani ? Jaribu kuuliza au fanya utafiti wako usijisemee maneno wakati huna uhakika nayo unakufuru wewe.MziziMkavuhttps://www.blogger.com/profile/11543228047022380632noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-89339919414684928132014-08-22T15:40:25.582+03:002014-08-22T15:40:25.582+03:00Namuomba Bwaya afanye utafiti kabla hajaandika has...Namuomba Bwaya afanye utafiti kabla hajaandika hasa maswali ya dini yanataka kufanya utafiti wa hali ya juu .Hasa ukiandika kupitia mtandao maana wasomaji wake wana uelewa tofauti katika dini.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/12650194089377145111noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-61956044604957699512014-07-23T14:12:37.041+03:002014-07-23T14:12:37.041+03:00Hoja amabazo hutumika kudhibitisha ya kwamaba yesu...Hoja amabazo hutumika kudhibitisha ya kwamaba yesu ni muislamu na sio mkristo huwa zinanishanagza sana. kwa mfano; Kutawadha, Kusujudu, Kuingia katika msikiti, kuingia ktk masinagogi. sababua zinazonifanya nishangae ni kama zifuatazo. Je msikiti (sinagogi) ilikuwa nyumba ya ibada tu kwa dini ya kiislamu, ikiwa waumini wa Kiyahudi waliabudu katika masinagogi ambamo kristo nae alaibudu kwa nini tusiseme alikuwa muumini wa dini ya kiyahudi?. Je ikiwa wayahudi walitawadha kwa nini tusiseme yesu alikuwa muumini wa dini ya kiyahudi?. ikiwa tunasema yesu hakuingia kanisani kama hoja ya kumtenganisha na ukristo kwa kutoa mfano wa hekalu, na kwa sababu mabudha husari katika Mahekalu Je ni hahalali kusema yesu alikuwa budha?.

Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-76940865755846026052014-02-07T22:25:44.021+03:002014-02-07T22:25:44.021+03:00AhsntAhsntAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/10406947899877352674noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-16480602281633371152014-01-14T11:10:29.723+03:002014-01-14T11:10:29.723+03:00ni sawa kama unatafuta ukweli sio kwa njia hiyo ya...ni sawa kama unatafuta ukweli sio kwa njia hiyo ya kuchambua kitu usichokijua.
we huijui so tafuta waliokua na elimu ya hicho unachotafuta uelimishwe.
hapo umesema Qur ana inakupa maelezo yanayokizana inamaana huna elimu juu ya Qur ana wala neno uislam ulichofanya wewe ni kuchukua aya moja na kua ndio kigezo chako.
kumbuka kua Qur ana sio kama gazeti ukiwa unasoma unaanza mwanzo na kumaliza mwisho.
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-20629013546747839892013-12-26T17:31:34.875+03:002013-12-26T17:31:34.875+03:00Bwaya kama upo katika kutafuta haki kati ya uislam...Bwaya kama upo katika kutafuta haki kati ya uislam na ukristo ipi ni dini ya kweli ambayo ndio hasa ni dini waliyokuja nayo manabii na inayoridhiwa na mungu mwenyewe basi wakati unatafuta ukweli ingia katika msako huo wewe kama wewe usiingie na imani yako, acha akili na moyo wako ukiwa huru kabisa ndio utauona ukweli ulipo kirahisi zaidi vyenginevyo itakuchukuwa mda mrefu sana kuuona ukweli......qur aan haina makosa yoyote kuhusiana na nani hasa alikuwa muislam wa mwanzo ila ufahamu wako mdogo ndio tatizo linalokusumba ww kumjua ni nani hasa muislam wa mwanzo.....Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/05002927289297441251noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-89659957185028105562013-05-28T13:15:08.668+03:002013-05-28T13:15:08.668+03:00Kazi nzuri na yenye kuleta changamoto njema. shukr...Kazi nzuri na yenye kuleta changamoto njema. shukranAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/10430380098695417892noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-73159954244869064192009-08-03T12:23:58.112+03:002009-08-03T12:23:58.112+03:00Mie napata shida kidogo. nilifikiri bwaya anadadis...Mie napata shida kidogo. nilifikiri bwaya anadadisi tarehe dini hizi tunazoziita 'zetu' zilianza. sidhani kama anaongelea dini ipi iko karibu na mungu na nyingine iko mbali. kinachotakiwa kuwa karibu na mungu ni roho yako tu hata kama wewe si wa 'kule' ama 'huku'. namaanisha usiibe, usisengenye, usizini, tenda mema, samehe, usiwe na kisirani, acha tamaa, saidia masikini, na kadhalika na kadhalika. Fanya haya yoote na usifanye ambayo hata wewe usingependa kufanyiwa halafu tuone mungu akunyime ufalme wa hiyo pepo eti kwa sababu hukuwa mwislamu ama mkristo. Sana sana mabishano (badala ya kufundishana) yanatupotezea-ga muda saaana wa kufanya vitu vingine.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.com