tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post9193337848933413939..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Ninapoahirisha mafanikio yangu kwa "kukwepa" kuamuaChristian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-40653926748710080622015-05-03T22:33:44.962+03:002015-05-03T22:33:44.962+03:00i like it this blogi like it this blogFoto Cewek Bugilhttp://www.termontox.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-68569039242416104482011-05-11T14:52:46.013+03:002011-05-11T14:52:46.013+03:00Ni mgonjwa mwandamizi mimi kwa hili, na imefika wa...Ni mgonjwa mwandamizi mimi kwa hili, na imefika wakati najiogopa kwa hilo. Tiba ikipatikana tutapona wengi. HauleAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-84715502004594252472011-02-23T22:23:20.087+03:002011-02-23T22:23:20.087+03:00Ahsante kaka Bwaya!ninapoyapangia siku naona kama ...Ahsante kaka Bwaya!ninapoyapangia siku naona kama mbali, muda wake ukifikia sasa, unaanza kuchagua hili si lalazima leo nitalifanya nikipata nafasi.Nakuna mengine mapya nazalisha!.mmmhh kazi kwelikweli!.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-83713383497191812462011-02-19T20:16:32.855+03:002011-02-19T20:16:32.855+03:00Mazowea ya kuahirisha mambo ni utumwa, amesema mmo...Mazowea ya kuahirisha mambo ni utumwa, amesema mmoja wao mie hapa!

Naam, Mkuu Bwaya, mtu atakayenipa dawa ya kuacha kuahirisha mambo, hata milioni nampa kabisa!

Lakini mpaka leo, mie na watumwa-wenzangu sidhani tumekwishapata tiba!

Labda wasomaji wengine wanaweza kutufafanulia zaidi ila tupate matibabu tena nadhani hata naye Mkuu Kitururu atafaidi hapo! Si ndio katika hali kama hii ya kuadimika kwa tiba waliposemea Wahenga: KILA SHETANI ANAMBUYU WAKE?

Wakati tunaposubiri tiba yetu, niruhusu tafadhali Mkuu Bwaya niwafariji waahirishaji wenzangu juu ya baadhi ya njia za ?kumudu? (HOW TO MANAGE THE CONDITION).

Napakumbuka Ilala Dar es-Salaam mwaka 1992 nilipopewa MWAKA MZIMA kwandika ripoti yangu juu ya utafiti niliokuwa naufanya ili nifaulu DIPLOMA ya Wandishi wa Habari huko TANZANIA SCHOOL OF JOURNALISM, au kama inavyoitwa siku hizi, "School of Journalism and Mass Communication-SJMC" http://www.sjmc.udsm.ac.tz/SJMC-About.php)

Amini usiamini nilianza kwandika saa kumi ya jioni.

Wanafunzi wenzangu Idi Rashid Mchatta, Stephen Lyimo, Karim Besta, na wengineo wengi sasa marehemu kama Mwafrika-Kusini-Mwenzangu Monde Tshongweni walipokwenda kulala hapo baadaye mie nikaendelea tu nakuchapa hiyo ripoti usiku mzima.

Saa nne asubuhi iliyefuata ilikuwa ni muda wa mwisho kumpa Mwalimu Mkuu Bwana Maurice Samwilu Mwaffisi hizo ripoti.

Mimi mwenyewe nilikuja kushangaa kwani ripoti yangu na ile ya rafiki yangu Bw Herald Tagama, pamoja na ?utetezi? wake (THESIS DEFENCE)ndizo zikawa juu zaidi kiasi cha kutangazwa katika vyombo vya habari Tanzania! (Ilikuwa mara ya kwanza Msouth-Afrika, tena labda mwanafunzi yoyote yule asiyeMtanzania, kupata FIRST CLASS).

Kwa ujuzi wangu mimi mwenye huo udhaifu wa kuahirisha mambo, lile joto (ADRENALIN RUSH)la kujua mtu uko hatarini usipomaliza kwa wakati, ndilo linakutia nguvu za kiakili kuimaliza hiyo shughuli tena vizuri kuliko pale ungeanza mapema zaidi.

Yapo lakini muhimu ya kuzingatia:

1. Uwe na afya nzuri kimwili (PHYSICAL FITNESS) vilevile kiakili (EMOTIONAL STABILITY AND MENTAL SOUNDNESS IN GENERAL).

2. Uwe na uhakika na ?namna? (SKILLS/KNOW-HOW) ya kufanyia hiyo shughuli. Kama ikiwezekana uwe bingwa wa hizo SKILLS.

Mfano tena wa 1992, asingekuwepo mwanafunzi-mwenzangu Bi Beatrice Bandawe aliyenilazimisha daima kushika adabu, ningekuwa mimi ndio bingwa wa darasa letu kwa kupiga chapa (TYPING SPEED AND ACCURACY).

Kwahiyo, Mkuu Bwaya, mimi ninamaoni ya kwamba hata ikiwa kama sasa hivi bado hatujapata tiba ya ugonjwa wetu wa kuahirisha, tusiogope kujitangaza sisi ndio wadhaifu wa hayo mambo. Labda tena ni sifa kwa upande mwingine!

Vilevile tuwe wajanja kama yule mtoto aliyezubaa na badala yakumchorea mwalimu sungura, yeye alichora jabali.

"Je, hii ndiyo sungura uliyechora wewe, Mtoto?" Mwalimu aliuliza kwa gadhabu.

Mtoto kujibu: "Mwalimu, tafadhali tulia kwanza! Sungura yupo, bali amejificha huko nyuma ya jiwe!"Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-44176599986964227382011-02-18T17:10:04.616+03:002011-02-18T17:10:04.616+03:00Asante sana Mkuu kwa hili!
Yani hapa nilipo kuna ...Asante sana Mkuu kwa hili!

Yani hapa nilipo kuna mengi kweli nimekwepa na hii imenipa munkari mpya kuyaingia kichwa kichwa!

Kwa bahati mbaya kila mwaka Mpya huwa nakata shauri kuingia mambo kichwa kichwa lakini mara nyingine hata ndani ya mwezi huohuo wa kwanza naanza kukwepa mambo!:-(

DUH!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com