tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post7641904930682838540..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Jinsi ya kumsikiliza mwenzioChristian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-62140312219575938612008-10-17T20:43:00.000+03:002008-10-17T20:43:00.000+03:00Shayo Karibu sana katika kibaraza hiki. Asante kwa...Shayo Karibu sana katika kibaraza hiki. Asante kwa maoni mazuri. Ni kweli kwamba kusikiliza na kuelewa, kama ulivyotoa mifano, ni kazi ngumu. Karibu tena na tena.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-75731403862044711822008-10-17T18:50:00.000+03:002008-10-17T18:50:00.000+03:00Bro Bwaya huko juu ile mbaya,nikweli kwamba wapo w...Bro Bwaya huko juu ile mbaya,nikweli kwamba wapo watu wengi ambao wanakuwa na matatizo kama hayo ya kuwasikiliza watu na kuwaelewa,mimi binafsi nilikuwa najiuliza sana kuhusiana na suala hlo,juzi kati nilikuwa na chat na washkaji flani hv wa kenya,wakawa wanadai eti sisi ni watanzania ni wagumu kuelewa,nikagundua kuwa kuwa,kuna mtu anakuwa muelewa kwenye baadhi ya maongezi,kwahyo unapaswa kuwa makini unapokuwa unawasiliana na mtu.kwangu maoni ni hayo tu.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/14578307620608094164noreply@blogger.com