tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post7076224743536732952..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Mkutano wa Copenhagen: Ugaidi wa kimaendeleoChristian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-32670234588477005922009-12-08T16:24:23.865+03:002009-12-08T16:24:23.865+03:00sijui kama idadi ya watu ni tatizo. tatizo ni ujin...sijui kama idadi ya watu ni tatizo. tatizo ni ujinga zaidi wa maendeleo kama ulivyotaja. watu wako bize kutengeneza siraha na wengine kununua siraha kama ulivyoona za Mbagala zikijiripukia na kuuwa iwezekanavyo!

vita vinaua kila kitu, askari, raia. zinaua ndege, wanyama, wadudu. zinaua majani, miti na kila mmea, zinaharibu udongo nk na sisi tunaona ni vyema.

tuko katika teknolojia kibao na maneno kibao, tunadhani pesa itatupeleka kwingi na kwa maana zaidi. tunakula wanyama na kuwamaliza na kukosa uvundo wa kutengeneza ardhi kutokana na vilivyokufa! nk nk

wanasiasa nnao!kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.com