tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post7017422425160412879..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Rariki yangu Rama muuza magazetiChristian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-62658592842149040172009-01-08T11:56:00.000+03:002009-01-08T11:56:00.000+03:00Duu kuhusu gazeti ni kweli lakini je niwaambie kil...Duu kuhusu gazeti ni kweli lakini je niwaambie kilichotokea? aisehee mtanilinda kweli? au mnaleta urani kazi kwelikweliMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-57209508296995917642008-12-27T14:10:00.000+03:002008-12-27T14:10:00.000+03:00Huwa sitamani siku ya kuhojiwa niwataje walionisai...Huwa sitamani siku ya kuhojiwa niwataje walionisaidia kufika hapa nilipo. Amini usiamini, kama ukikaa chini na kuwaza kwa undani utagundua kuwa takribani kila aliyeshiriki maisha yako ana mchango. Nazungumzia hata wale waliokuudhi na ambao ulitaka kuwadhihirishia kuwa hawako sahihi ama wewe ni zaidi yao na kufanya maamuzi ambayo yamekunyanyua harakaharaka. Unadhani hawa hawastahili shukrani? Kuna mengi na wengi wa kushukuru na nikiambiwa nifanye hivyo ntasema kwa ujumla tu (ukiachilia ndugu wa karibu kama Baba, Mama, Dada, Kaka) maana wakati mwingine waweza kuchelewa basi kwa kuwa dereva kawahi kuondoka, na wakati unasubiri lifuatalo ukaonana na mtu ama baada ya kupanda la pili ukaongea na mtu ambaye atakupa "mchongo" unaoweza kubadili maisha yako. Unadhani utakumbuka kumshukuru yule dereva aliyekuacha? Lakini ni kweli kuwa kukuacha kwake kumebadili maisha yako? Wale walioachwa na Mv Bukoba wakawa wanalia kisha wakasikia kilichotokea wakati wanakaribia Mwanza unadhani walishukuru kuachwa? Ukiangalia sana, kila mtu ana nafasi yake kwenye maisha. Awe anasifia ama anakosoa. Tatizo ni namna tuamuavyo kuchukulia mahusiano yetu na wenzetu.
Salamu kwa Rama ukimuona. Mwambie alichokirutubisha ndicho kitufanyacho tu-JIELEWE sasaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-79798321640628739472008-12-27T13:16:00.000+03:002008-12-27T13:16:00.000+03:00Kaka ahsante sana. Umenikumbusha zamani wakati nik...Kaka ahsante sana. Umenikumbusha zamani wakati nikisoma. Nilikuwa msomaji mzuri wa hilo gazeti. Lilikuwa moto kweli kweli, sijui nini kilichotokea.
Siku hizi hata silitamani, blog zinanitosha kupata ninachokihitaji.
Nakushukuru kwa kazi nzuri uloifanya huko Singapore (Singida) kazi nzuri.
Kuna rafiki yangu huko aitwaye Balthazar Nkhangaa.
Napenda kukutakia kila la kheri katika mambo yako.
Wikend njema.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com