tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post6387715419848566077..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Arusha warembo ni majasiri wa kibiasharaChristian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-10253549839311009482010-03-27T13:32:00.424+03:002010-03-27T13:32:00.424+03:00Huo si ujasiri ni picha kamili ya namna gani mfumo...Huo si ujasiri ni picha kamili ya namna gani mfumo mbovu wa uendeshaji shughuli za uzalishaji mali unavyowatenga wananchi hayo ni mateso,na si ujasiri,kwa mfumo mzuri walitakiwa wawe wametengewa maeneo ya biashara wapewe mikopo na ekimu bora,na ujasiri utakuja kuonekana pale watakapoweza kurudisha mikopo na kuweza kusimamia miradi yao bila madeni vinginevyo hao wapo katika mateso kwa sababu ya sera mbovu za uendeshaji nchi za ccm.<br />mzazi chopangaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-28513366215778867962010-03-25T18:19:49.495+03:002010-03-25T18:19:49.495+03:00tawile yasinta ngonyani. badala ya kulalamika kumt...tawile yasinta ngonyani. badala ya kulalamika kumtafuta mchawi wa matatizo yako ni vema ukajishughulisha.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-73012727259153845042010-03-18T13:51:37.336+03:002010-03-18T13:51:37.336+03:00Binafsi sishangazwi na muonekano wa kina dada ukil...Binafsi sishangazwi na muonekano wa kina dada ukilinganisha na kazi waifanyayo. Mimi naona ni swala la kujipenda na pia kuweka imani kwa wateja.<br /><br />Au ndo yale ya mwalimu haruhusiwi kuvaa tisheti na jinsi? Au kwa vile mpasua mawe kavaa suti na akikueleza kazi afanyayo unasita kuamini? Au aliyevaa suti hategemei kupewa kwanja akafyeke nyasi na hajiulizi kama akipewa itakuwaje.?Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-3694035747792438592010-03-12T21:30:16.181+03:002010-03-12T21:30:16.181+03:00Hiivi ndivyo inavyotakiwa Hongera akina dada.Hiivi ndivyo inavyotakiwa Hongera akina dada.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-34342844430858935952010-03-11T23:05:04.652+03:002010-03-11T23:05:04.652+03:00Bora ya hivyo maana wakizubaa watalala njaa, nawap...Bora ya hivyo maana wakizubaa watalala njaa, nawapongeza sana kwa ujasiri waoBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-74926613919015109762010-03-10T18:35:59.603+03:002010-03-10T18:35:59.603+03:00Kwa mtazamo wangu ujasiri kama tabia huongezea b...Kwa mtazamo wangu ujasiri kama tabia huongezea bonge la chachandu katika urembo wa kibonge.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com