tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post6059170075450292578..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Nani hushaurika kikweli kweli?Christian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-69984493187913014152009-09-25T11:22:30.908+03:002009-09-25T11:22:30.908+03:00Na kwakuwa tunakubali kushauriwa, basi tunajikuta ...Na kwakuwa tunakubali kushauriwa, basi tunajikuta tunakubali ushauri hata kama kuna makubaliano ya kutofuata ushauri....lakini mimi na wew tunashaurika kwani ni mimi na wewe tunashauriana. Lol....MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-10196209416883927032009-09-24T10:04:17.153+03:002009-09-24T10:04:17.153+03:00hapa nawakumbuka wahenga kwa ule usemi wao kuwa sa...hapa nawakumbuka wahenga kwa ule usemi wao kuwa samaki mkunje angali mbichi, sijui ilikua ni mbinu tu ya kuwafanya watoto kuamini wazazi wako sawa wakati wote(ingawa wakati mwingi ndivyo) ama ni mbinu mbadala ya kujenga jamii bora ijayo. mmh, bado nipo ukurasani nawasikiliza wadauviva afrikahttps://www.blogger.com/profile/15489261625945286936noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-9168573624346077692009-09-20T17:50:13.362+03:002009-09-20T17:50:13.362+03:00kaka nakusalimu.kaka nakusalimu.nyahbingi worrior.https://www.blogger.com/profile/16213059100323353150noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-32917453885343482492009-09-14T19:01:57.022+03:002009-09-14T19:01:57.022+03:00Nakubali kabisa !
Na ukitaka kupata mfano angalia...Nakubali kabisa !

Na ukitaka kupata mfano angalia ni Wakristo wangapi waliozaliwa na kukulia katika mazingira ya kikristo unaweza KUWASHAURI wageuze DINI wawe Waislamu, na ni Waislamu wangapi unaweza kuwageuza wawe Wakristo ambao wamezaliwa na kukulia kwenye kweli yao kama waitambuavyo yenye misingi ya KIISLAMU.

Of course kuna EXCEPTIONS , lakini STATISTICALLY ni asilimia kiduchu uwezayo kuibadili KWA KUISHAURI IKUBALIANE NA KWELI YAKO , na katika mfano huu hapa, naongelea hata kama unaowalenga ni WAKRISTO au WAISLAMU ambao kwenye dini zao ni INACTIVE.

NI MFANO TU ambao unaweza ukawa sio mzuri sana katika kuainisha jinsi navyokubaliana na wazo lako MKUU BWAYA!

[Samahani pia kwa kuingizia ung'eng'e wakati nashuka neno hapo juu!:-(]Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-60778759678748403232009-09-11T21:53:29.361+03:002009-09-11T21:53:29.361+03:00Nakubaliana nawe hasa wazazi ila sio wote, sijajua...Nakubaliana nawe hasa wazazi ila sio wote, sijajua bado kwa nini hawataki kupokea ushauri wa watoto wao. Imeshajengeka katika akili zao kuwa ni wao tu ambao wanaweza kutoa ushauri.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com