tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post5330257904596182649..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Changamoto ya kumpa 'mtumwa wa ndani' jukumu la malezi ya watotoChristian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-72649177715840277812014-11-23T14:58:00.544+03:002014-11-23T14:58:00.544+03:00Albert. Nakubaliana na mtazamo huo. Wengi wetu hat...Albert. Nakubaliana na mtazamo huo. Wengi wetu hatujaweza kuwa na sifa za waajiri. Tutakapoweza kuelewa mahitaji yao kama binadamu na kuwatendea kama tunavyotaka kutendewa sisi, naamini tutaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa matatizo yanayotokana na akina dada hawa. Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-3216222359851911922014-11-23T05:52:50.051+03:002014-11-23T05:52:50.051+03:00ahsante christian.ni kweli tufanye kazi kupunguza....ahsante christian.ni kweli tufanye kazi kupunguza.ila ujue watu wengi tumeajiriwa lakini hatuna mafunzo ya kuwa waajiri.mtu aamatendea mfanyakazi wake kama ambavyo akifanyiwa analalaika au kuandamana.kumbuka hawa hawana motisha,wala.safari,wala training,wala kupandishwa cheo na watu wachache sana wana wapa jd,mkataba na benefits zingine, hawana muda wa kazi,na muda wa kupumzika,au kukutana na marafiki,yet hata kima cha chini hawapewi ...ungekuwa wewe uko hivo kazini kwako ingekuwaje?albertnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-10718585527746121322014-07-31T09:08:29.051+03:002014-07-31T09:08:29.051+03:00Asante sana Nuru kwa kutembelea humu. Karibu tena!...Asante sana Nuru kwa kutembelea humu. Karibu tena!Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-23043539860032967272014-07-31T01:29:43.777+03:002014-07-31T01:29:43.777+03:00
KAZI NZURI,,<br />KAZI NZURI,,NURU THE LIGHThttps://www.blogger.com/profile/12420702793986498006noreply@blogger.com