tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post4221460934121424594..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Shinto: Dini iliyoanzia Japani na kuishia Japani.Christian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-51598928309184332222008-06-18T04:10:00.000+03:002008-06-18T04:10:00.000+03:00In American terms what does the word "kuishia" mea...In American terms what does the word "kuishia" means...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-61645874692511529472007-04-21T19:07:00.000+03:002007-04-21T19:07:00.000+03:00Adsanteni sana kwa mawazo, falsafa na kadhalika, n...Adsanteni sana kwa mawazo, falsafa na kadhalika, nawapenda woote lakini zaidi napenda mikundu (of course ya wanawake), msinielewe vibaya. Nitembeleeni kwenye blogu yangu mpya, hakuna zaidi ya picha za mikundu, natafuta sana za wabongo mkipata msiache kunitumia nipambe blogu

http://mikundu.blogspot.com/Mikundu Matako Makalio Manunduhttps://www.blogger.com/profile/01808937059616253384noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-57272318495278639492007-04-10T19:20:00.000+03:002007-04-10T19:20:00.000+03:00Bwaya!Kwanza karibu tena ktk uwanja huu wa ku-blog...Bwaya!
Kwanza karibu tena ktk uwanja huu wa ku-blog.

Kuhusu dini mm naona hao wa-japan wako sahihi kujikita kwenye dini yao tena ya asili. Kimsingi dini ni imani sasa iweje sisi tuliburuzwa kuhusu imani zetu? Anyway, tutaendelea kjiita waislamu au wakristoMTANZANIA.https://www.blogger.com/profile/17680125969643313805noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-55970534862540965702007-04-10T16:48:00.000+03:002007-04-10T16:48:00.000+03:00Ndesanjo,Kuna sababu iliniweka kando kwa muda fula...Ndesanjo,

Kuna sababu iliniweka kando kwa muda fulani nikashindwa kublogu ipasavyo. Sasa mambo ni shwari kiasi, nimerejea kwa kasi mpya.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-5968167164651928772007-03-11T07:34:00.000+03:002007-03-11T07:34:00.000+03:00Bwaya, vipi?Bwaya, vipi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-43721555356299339642007-02-15T14:20:00.000+03:002007-02-15T14:20:00.000+03:00Duh! Bwaya ehh?Sisemi sana, nangojea urudi na mamb...Duh! Bwaya ehh?Sisemi sana, nangojea urudi na mamboSimon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-39925547713074465942007-01-21T02:20:00.000+03:002007-01-21T02:20:00.000+03:00Makala hizi za dini ni kati ya makala za nguvu san...Makala hizi za dini ni kati ya makala za nguvu sana kwenye blogu zetu hivi sasa. Uamuzi huu wa kuingilia kwa kina masuala haya nauunga mkono. Mimi nimekosa muda wa kuyaandikia. Shukrani kwa kutuelimisha kuhusu dini ambazo wengine wala hatujui kama ziko au kama tunazijua basi tunazijua kijuujuu. Si unajua wengi wetu hudhani dini ni uislamu na ukristo tu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-52945850970791603922007-01-20T17:35:00.000+03:002007-01-20T17:35:00.000+03:00Asante kwa hili somo. Nilikuwa siijui dini Hii. Bw...Asante kwa hili somo. Nilikuwa siijui dini Hii. Bwaya unajua nimezinguka kidogo leo. Kwa maana nime pei atensheni kwenye jina lako la kwanzaSimon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com