tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post3888044096520805920..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Tabia zetu zimekosewaChristian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-3979766550603997452007-05-15T20:51:00.000+03:002007-05-15T20:51:00.000+03:00Naamini malezi ya mtoto yanamsaidia sana kuwa aliv...Naamini malezi ya mtoto yanamsaidia sana kuwa alivyo.Lakini pia naamini sio malezi tu mazingira pia yanamjenga mtoto.Mzazi yeyote hata awe anamiujiza kuna mpka atafikia ambapo hawezi tena kuyakabili makuzi ya mwanaye.Kwanza kila mtoto ni tofauti.Hivyo katika familia moja , malezi ya mtoto wa kwanza yanaweza yakawa hayamfai mtoto wa katikati au wamwisho.Pili kuna swala la ubinadamu.Binadamu hata uwe umebobea vipi ni vigumu kuwa nauhakika wa hatua uzichukuazo kwamba zina leta matunda asilimia mia moja. Mtoto akuaye na kucheza na watoto wajirani , kutazama katuni kwenye TV, kusimuliwa hadithi na bibi, nk yote yanaathiri mtazamowake wa dunia na nafasi yake katika dunia.Anaye chapwa chapwa na kugombezwa anaweza akakua asiwe muoga na wala kuhisi alionewa na wazazi kama akina Michael Jackson walivyodai.Anaweza akakua nakuchukulia kuwa zile fimbo ndio zilimfanya awe makini.Aliyeachwa akue kivyake na kudekezwa anaweza vilevile akakua nakuwa yule aliyekuwa muoga wa maisha.Lakini pia aliyedekezwa anaweza akawa ndio jasiri naaliyechapwa hata kutetea hoja yake anaogopa kutokana na trauma za utotonin.Hili swala ni gumu kweli!

Lakini nachoamini ni kwamba wazazi wengi hawawachukulii kwa makini watoto wao na kuwajua ni staili gani ya kudili nao ilikupata the best of them.Wengi utasikia tu, unajua baba yao mkali kweli!Lakini kumbe ule ukali haufanyikazi ipaswayo kwa watoto wake. HIvi vilema naamini vitaendelea kujitokeza mpka binadamu watakapo toweka ulimwenguni.Kwa sababu kama mzazi huna uwezo wa kuyajua mazingira ya mtoto wako kwa asilimia mia.Kwanza haiwezekani kwa mtu yeyote kumjua mwingine kwa asilimia mia.Kuna kiasi tunakijua halafu tunakuwa comfortable.Kunamafanikio tunayajua amabyo yanatupeleka mpka pale kwenye comfort level halafu tunatulia.Mzazi wa baba yangu alikuwa anamlenga baba kuwa mchungaji au mwalimu.Kwani yeye kwa ujuaji wake aliona akiwa katika fani yeyote katika hizo mbili ndio kufanikiwa.Mzazi wangu yeye alikuwa ananilenga niwe daktari, kwani anaaminin kuwa ukiwa daktari haliharibiki jambo.
Lakini je, hivi kwanini mafanikio yasiwe tu kuwa mtu ana furaha na amani maishani mwake?

Wote tunajua haitatokea binadamu asiye kuwa na kilema chochote.Sasa je, ni muhimu kujaribu sana kupata binadamu anaye karibia u perfection wa malaika?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-165275547684713462007-05-06T15:02:00.000+03:002007-05-06T15:02:00.000+03:00Nakubaliana na wewe Egidio. Kwamba wasomi wanaweza...Nakubaliana na wewe Egidio. Kwamba wasomi wanaweza kuwa na kilema hiki. Utegemezi hata katika mambo ambayo wanayaweza. Swali linakuwa: Je, wanapenda kuwa hivyo, ama kuna kilichowafanya wawe hivyo walivyo bila utashi wao? Hilo ndilo lengo la mada hizi.

Kitururu, karibu tubadilishane mawazo. Baada ya siasa, muziki, dini na mengineyo, si vibaya sasa tukizungumza elimu-nafsi.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-11473424799901191762007-05-04T00:02:00.000+03:002007-05-04T00:02:00.000+03:00Mada kali hiii Bwaya!Nitapita tena kuijadili!Mada kali hiii Bwaya!Nitapita tena kuijadili!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-2739976314331270362007-05-02T12:11:00.000+03:002007-05-02T12:11:00.000+03:00Karibu tena ulipotea kidogo.Hicho kilema cha utege...Karibu tena ulipotea kidogo.Hicho kilema cha utegemezi ni kibaya sana.Hata yaliyo katika uwezo wako unataka msaada.Hii ya utegemezi inaweza kuonekana kwa wasomi wetu?
Wanategemea kila kitu wakati uwezo wakupambanua mambo tayari wanaoEgidio Ndabagoyehttps://www.blogger.com/profile/09536451761854031212noreply@blogger.com