tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post2306391389708730896..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Je kuna uhusiano kati ya kutembea kwa mtu na tabia yake?Christian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-87780217100328405752008-10-25T18:14:00.000+03:002008-10-25T18:14:00.000+03:00Mwaipopo karibu tena. Nilikukosa muda mrefu kwenye...Mwaipopo karibu tena. Nilikukosa muda mrefu kwenye blogu.<BR/><BR/>Sasa mbona nshaona wafupi wasiotembea kibabe ila ni wababe. Hapo? <BR/><BR/>Hata hivyo naona kuna ukweli flani kwenye hili swali la Nuru. Labda tungeanzia kwenye mcanganuo wa aina za miondoko. Halafu hapo tuangalie zinavyohusiana na tabia zetu. Mwenye kufahamu anajisikie huru kutufahamisha.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-24892328471361104692008-10-24T15:07:00.000+03:002008-10-24T15:07:00.000+03:00Sabalheli shehe.Inawezekana mwendo ama mikogo ya m...Sabalheli shehe.Inawezekana mwendo ama mikogo ya mtu ikashabihiana na mtu. mathalani tumekwishasikia mara kadhaa watu wakisema jamaa anatembea kibabe. Ukimchunguza huyo jamaa utakuta anatabia za kibabe ama kupenda kunyenyekewa ama kuogopwa. Sie tusio na vimo huwa hatutembei kibabe, labda mbele ya wafupi wenzetu maana tusije tukakong'oliwa.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.com