tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post1946281661234562318..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Haki ni nini?Christian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-18004533896281691202009-02-19T11:48:00.000+03:002009-02-19T11:48:00.000+03:00Ukipewa haki na unakajua kuwa umepewa haki, kuna h...Ukipewa haki na unakajua kuwa umepewa haki, kuna haki unazikosa kwa kujua kuwa umependelewa.

Mfano akina mama wanaong'ang'ania kukalia viti vya bungeni kwa upendeleo. Haki hiyo wanayodhani ni yao kwa kulazimisha, inawafanya wakose haki mbele ya jamii. Kuna haki wanazikosa kwa sababu tu waligawiwa haki.

Haki usiidai. Iache ije yenyewe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-21797689353723852382009-02-17T14:20:00.000+03:002009-02-17T14:20:00.000+03:00Chama tawala ndo chanzo cha kufanya watu wadai kil...Chama tawala ndo chanzo cha kufanya watu wadai kile wanachoamini kuwa kimekataliwa wakati wanastahili kukupata.hiyo ndo tafsiri ya haki kwa hapa Tanzania,ila maana halisi ni uhuru wa kufanya kile unachoamini na kukipata kile unachohitaji au kupata kile unachokitaka kwa muda uliojip[nagiaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-29374822178434902362009-02-05T12:02:00.000+03:002009-02-05T12:02:00.000+03:00Kwa matazamo wangu jamii yetu imeshindwa kuwajibik...Kwa matazamo wangu jamii yetu imeshindwa kuwajibika ndiyo ikaja suala la kusema tunadai haki zetuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-18035565662062447902009-02-04T19:35:00.000+03:002009-02-04T19:35:00.000+03:00Namsubiri Koero!Namsubiri Koero!MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-20205465016560593472009-02-04T18:41:00.000+03:002009-02-04T18:41:00.000+03:00Swali zuri kwa walimwengu. Haki ni kitu kilicho kw...Swali zuri kwa walimwengu. Haki ni kitu kilicho kwenye sheria...vitabuni tu maanake ukiangalia dunia ya leo, ni unyanyasaji, chuki, uharamia nk. pembe zote.
Hata haki ya kusema huru haupo na uhuru wake...naachia hapo.Anonymousnoreply@blogger.com