tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post116013496191943302..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Raha ya kublogu ni uhuru wenyeweChristian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1164954521235613232006-12-01T09:28:00.000+03:002006-12-01T09:28:00.000+03:00Christian umenikumbusha mambo ya kale! Enzi za Mkw...Christian umenikumbusha mambo ya kale! Enzi za Mkwizu, mwalimu wetu wa Chemistry: "Nyie vijana msifajifanye mnajua...kondoo wanamjua mchungaji...fuateni mafundisho ya mchungaji wenu".

Juzi nilikutana naye bsi kumbe analikumbuka sana lile darasa. Nasikia hapajawahi kuwapo wazo la gazeti kama mlivyokuwa mkifanya na Mwimbe, tulipoondoka ndio ikawa basi.

Umenikumbusha siku ile umekuta jamaa wamefungia gazeti la Rai "vile vimbuzi"
(unavikumbuka?) basi ikawa sheshe. Nimejifunza vingi kwa maisha yale.

Nimesoma hii story nkakumbuka ile column ya huyu jamaa ambaye kumbe yuko mtandaoni kajaa tele. Nshapata mahala pa kutulia.

Tuwasiliane.

Monita wako,
PCB class.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1164274410321829692006-11-23T12:33:00.000+03:002006-11-23T12:33:00.000+03:00Kitururu kasema kweli kuhusu watu kupunguza kasi y...Kitururu kasema kweli kuhusu watu kupunguza kasi ya kufuatilia masuala ya ngono mtandaoni baada ya muda fulani. Utafiti kuhusu tabia za matumizi ya mtandao unaonyesha kuwa watu wanapoanza kutumia teknolojia hii hukimbilia kwenye mambo ambayo huonekana kuwa ni mwiko katika jamii kama kutazama picha za ngono. Halafu baada ya muda wanachoka na kuhamia kwenye mambo mengine. Sio wote. Ila tabia za watumiaji wengi wa mtandao zinaonyesha hivyo. Hata kama hawaachi kabisa, basi huwa kuna kupunguza kasi na kuanza kutazama mambo mengine yaliyoko kwenye kisima hiki cha elimu na habari.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1160516144333924992006-10-11T00:35:00.000+03:002006-10-11T00:35:00.000+03:00Swala la ngono kutafutwa mtandaoni ni jambo linalo...Swala la ngono kutafutwa mtandaoni ni jambo linaloongoza dunia nzima.Chakusikitisha ni pale linavyo tawala na kuzuia udadisi wa mambo mengine mtandaoni. Mimi naamini jambo hili linawadaka sana watu kwa kuwa ni jambo ambalo jamii zilizo nyingi hapa duniani haliongelei ngono kiuwaziwazi.Hivyo watu wana imagination za ajabu ajabu ambazo wanajaribu kupata majibu katika njia hii mpya ya mtandao. Mimi naamini asilimia kubwa ya watu huacha au kupunguza kabisa udadisi wa ngono baada ya kugundua hakuna cha ajabu sana wakionacho.Hivyo cha muhimu ni kukumbushana tu kuwa maisha na maswali mengine mengi yamkabiliayo binadamu yana majibu mengi tu mtandaoni kama mtu ni mdadisi.Na naamini wote tunamambo mengi tutakayo kujua zaidi ya ngono ambayo twaweza kupata majibu mtandaoni. Lakini nashukuru kuna blogu yako Bwaya ambayo hunishibisha maarifa. Asante!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1160471901297217552006-10-10T12:18:00.000+03:002006-10-10T12:18:00.000+03:00Charahani,Asante sana kunitembelea. Ni muhimu kila...Charahani,
Asante sana kunitembelea. Ni muhimu kila mmoja afaanye wajibu wake kutangaza mambo lukuki ya maana yanayoweza kupatikana mtandaoni. Hii tabia ya kupoteza wakati tu mtandaoni wakati nchi yetu ni masikini, nadhani umefika wakati tuipige vita kwa nguvu.

Nnajua Charahani unafursa kubwa ya kufanya hili kuliko wengi wetu tunaoibia ibia vibanda vya mtandao.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1160390593047107152006-10-09T13:43:00.000+03:002006-10-09T13:43:00.000+03:00Yaap hongera saaana mzee, mambo yako kama ulivyose...Yaap hongera saaana mzee, mambo yako kama ulivyosema kwa hakika umeamua kujitosa mzima mzima katika fani nimekukubali.

Kitu kimoja umekihilight vijana kupenda kubrowse kurasa za ngono aisee hiyo ni kweli kabisa hakuna ubishi, hii ni dhahiri na kama vijana hatutaachana na hili tutajikuta tukitumikia ngono za mtandaoni badala ya kuvuna maarifa.

Ni wajibu wetu mimi wewe, yule na mwingine na kadhalika kulishughulikia hili.mzee wa mshituhttps://www.blogger.com/profile/06228758214914013289noreply@blogger.com