tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post113811461068241303..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Hiki ni kichekesho cha MMEM!Christian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1140271693239759782006-02-18T17:08:00.000+03:002006-02-18T17:08:00.000+03:00safari bado ni ndefu! si umeona jinsi form four wa...safari bado ni ndefu! si umeona jinsi form four walivyoboronga? inabidi kuchukua jukumu rasmi kufufua elimu yetu kwani na huu utandawizi utatumaliza wajameni!FOSEWERD Initiativeshttps://www.blogger.com/profile/11703868842246600590noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1138300774942901042006-01-26T21:39:00.000+03:002006-01-26T21:39:00.000+03:00Bwaya yawezekana umesahau kuwa mara nyingi msema k...Bwaya yawezekana umesahau kuwa mara nyingi msema kweli huonekana muongo na msema uongo huonekana mkweli midhali ana nguvu za kusemea. Tena akisema kwa Kingereza ndio inaonekana jiniasi kabisa. Hii MMEM mimi nilikuwa naisikia tu kama kitu kingine kama mlio wa mbuzi vile. Lakini matangazo ya HakiElimu nilikuwa nayahusianisha na ukweli ambao nimeuona kwa macho yangu mawili. Lakini ona sasa ukweli umeshafanywa uongo na maisha yanaendelea tu na sisi tuko kimya.

Lakini haya yote yana mwisho wake.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1138199863381607922006-01-25T17:37:00.000+03:002006-01-25T17:37:00.000+03:00Nafurahi kukupa taarifa kuwa nitaanza kusoma huku ...Nafurahi kukupa taarifa kuwa nitaanza kusoma huku kwako pia nashukuru kwa kunishtua ndugu yangu,unajua kuna Mtu anakwitwa Makene na mwenzake anakwitwa Mkwinda wamekuwa wananifanyia matendo yasiyo katika tambo zao, hadi nakosa muda wa kutembelea wengine,nitajitahidi kaka!nyembohttps://www.blogger.com/profile/00610246515897407714noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1138199643791352382006-01-25T17:34:00.000+03:002006-01-25T17:34:00.000+03:00Leo nimeamua kusema nawe kaka!kazi yako nimeona mw...Leo nimeamua kusema nawe kaka!
kazi yako nimeona mwanangu,ninachoshukuru hapa ni kuwa yule mama kama alivyosema Bw Jeff pale juu kawekwa katika wizara ileile, lakini ikiwa ni moja kati kumkomesha huyo mama na sio kumpa shukrani katika kile alichowafanyia walimu.
unajua ni kama Magufuli aliuza nyumba za serikali kwa jeuri na kiburi, JK kamkabidhi rungu linalohusu nyumba huku akimsimanga kuwa hatuuzi nyumba...sasa kazi kwake kumpinga bosi,kwa kufanya mauzo ama kurudisha nyumba na kukoma kucheza mchezo mchafu.nyembohttps://www.blogger.com/profile/00610246515897407714noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1138126766727360172006-01-24T21:19:00.000+03:002006-01-24T21:19:00.000+03:00Bwaya hapo ndipo kwenye utata huyu mama wa CCM ali...Bwaya hapo ndipo kwenye utata huyu mama wa CCM aliyekuwa chanzo cha kukwamisha madai ya walimu Tanzania sasa ni Waziri wa Wizara hiyo. Amepewa zawadi baada ya kuwaweka kimya walimu kwa miaka. NiMEONA NAYE KAANZA NA LONGO LONGO ZA MUNGAI KUHUSU MICHEZO. Kuna nini hapa nadhani kazi kwetu kuwapasha ukweli maana kuua elimu nchini ni kuwanyima raia wetu haki yao kama binadamu.boniphacehttps://www.blogger.com/profile/15745336472193470752noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-1138118002029185322006-01-24T18:53:00.000+03:002006-01-24T18:53:00.000+03:00Bwaya,Kwanza niseme ahsante kwa maoni ambayo umeya...Bwaya,
Kwanza niseme ahsante kwa maoni ambayo umeyaacha kwenye uwanja wangu na ahsante kwa kuwa msomaji mzuri wa makala zangu za kila jumapili ndani ya Tanzania Daima.
Kuhusu hili la elimu mimi nashindwa hata kuelewa nini kinatokea na inakuwaje wananchi waishie kunong'ona tu wakati waathirika ni wao wenyewe na watoto wao.Nadhani lazima tuchukue msimamo thabiti.Masuala muhimu kama haya sio sahihi kabisa kuachiwa wachache,wenye vitambi,ambao watoto wao washamaliza shule siku nyingi sana,kutuamulia.Natumaini JK ameshaanza kulivalia njuga hili kwa sababu nasikia alilisemea hovyo alipozuru wizara ya elimu hivi karibuni.Nadhani tatizo huko nyuma halikuwa aina gani ya masomo yanafundishwa bali nini kinafundishwa;ukoloni mpya?utumwa wa akili?Jeff Msangihttps://www.blogger.com/profile/08721472155262805502noreply@blogger.com