tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post1004172010660781360..comments2024-03-28T11:26:49.642+03:00Comments on Jielewe: Safari zinavyotukutanisha na mengiChristian Bwayahttp://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-71172014482055384192008-09-04T19:02:00.000+03:002008-09-04T19:02:00.000+03:00Ama kweli hatuna vita kwa sababu wananchi ni wajin...Ama kweli hatuna vita kwa sababu wananchi ni wajinga. Angalia juzi wananchi wameandamishwa sijui na nani kuunga mkono kitu wasichokijua.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15356729.post-81145103874135895192008-08-30T19:58:00.000+03:002008-08-30T19:58:00.000+03:00Dah! watu wamekataa tamaa haswa hawajui kama kesho...Dah! watu wamekataa tamaa haswa hawajui kama kesho itafika.Nimegundua kitu kimoja wengi wa watu kule Tanzania B hawana elimu ya uraia.<BR/><BR/>Wewe nafikiri umejionea hali ya "Singapore" ambapo CCM walijizolea mijikura kibao,lakini jaribu kuwaambia mbona CCM haiwatendei haki au imewasahau.Hawatakuelewa.Wanahitajielimu ya uraia.<BR/><BR/>Wasalimie MoshiEgidio Ndabagoyehttps://www.blogger.com/profile/09536451761854031212noreply@blogger.com